Toyota IST zinatafutwa haraka

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,935
Reaction score
24,790
Tafadhali kama unauza au unafahamu mtu anauza Toyota IST niambie.
1. Iwe bado nzuri ndani na nje
2. Bei isizidi 6,000,000 TShs
3. Kama ipo Dar ni safi zaidi
4. Zinatafutwa kwa wingi
5. Weka mawasiliano yako ya simu kama una dili
 
Pandisha hilo dau nikuachie ya kwangu mkuu
 
Lugha ya biashara, kupata na kuuza.
 
Ikifika bei ya 13m njoo uchukue uani kwangu
 
Reactions: MC7
Unataka ngapi.......?.....
 
Mkuu ngoja nikwambie kweli, kwa bei hyo huwezi pata Ist labda kimeo.
Mi nina yangu ina miaka 4 ila bado inalipa mbaya, wadau wananchombeza niwaachie nawambia bila 13 wasepe.
 
Tafadhali kama unauza au unafahamu mtu anauza Toyota IST niambie.
1. Iwe bado nzuri ndani na nje
2. Bei isizidi 6,000,000 TShs
3. Kama ipo Dar ni safi zaidi
4. Zinatafutwa kwa wingi
5. Weka mawasiliano yako ya simu kama una dili
hyo dili bado ipo? nichek hapa au nitumie no yako
0716561026
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…