Salama mkuu, ushasepa ng'ambo..Kkkkkk,,,mkuu salama?
Hahahaa njia nzima IST utafikiri club za wanaomiliki hizo gariNdio maana nataka niamie kwenye subaru, too much... njia nzima tumeongozana.
Bado nipo bongo,,corona inazinguwa sn,,Salama mkuu, ushasepa ng'ambo..
Subaru tamu sana ila gharama za uendeshaji zipo juu.Ndio maana nataka niamie kwenye subaru, too much... njia nzima tumeongozana.
Ukilalamikia uwingi wa IST , vipi uwingi wa HIACE ?!. Kikubwa usafiri, sema zinaboa ufupi . Ukipita pabovu kidogo zinagusaHahahaa njia nzima IST utafikiri club za wanaomiliki hizo gari
Ni kuongeza kipato tu kwani maisha ni haya haya.. hakuna maisha mengine.Subaru tamu sana ila gharama za uendeshaji zipo juu.
Hvi team teza imeishia wapi [emoji23][emoji23][emoji23]Inabidi nao waanzishe chama lao kama la wale wa Altezza. kwenye kikao mnapiga vipensi, visando na kuning'iniza funguo kwenye luksi, bila kusahau serengeti laiti.
Hata sijui mkuu labda na wao wamewekewa kodi au wameshakuwa watu wazimaHvi team teza imeishia wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app