mkadiriajimajenzi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 551
- 618
Baby Walker..(.IST)
Ndio maana nataka niamie kwenye subaru, too much... njia nzima tumeongozana.
wanasema ulaji wake wa mafuta ni mdogo [emoji23]
Hahahaa.k.a hazina kiu
Hela zako za Ulithi Zinakutia mawenge Braza hila tambua Hela za ulithi azichelewi Kuisha. nimeongea kwa uchungu sana
π’π’Halafu mshika bango hana hata bodaboda!!!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] wenye ist wanapata tabu Sana mjiniHela zako za Ulithi Zinakutia mawenge Braza hila tambua Hela za ulithi azichelewi Kuisha. nimeongea kwa uchungu sana
Mzee wa kuchomeka mwekundu kwenye pindo la chupi kwa wanenguaji wa twanga pepeta umenichekesha sana πππBaby Walker..(.IST)
Nakumbuka zamani tukiwa wadogo ,,ilikuwa tukiona kagari kadogo tunasema hata mm najuwa kukiendesha..
Haiwezekani kiwe kidogo halafu kinishinde..
Kkkkkk..
Kkkkkk,,,mkuu salama?Mzee wa kuchomeka mwekundu kwenye pindo la chupi kwa wanenguaji wa twanga pepeta umenichekesha sana [emoji16][emoji16][emoji16]