Toyota IST inauzwa

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,944
Reaction score
810
Gari aina ya toyota ist inauzwa bei tsh 10m,imelipiwa kila kitu namba ndio zimewekwa leo. Picha zinakuja soon.
 
Gari aina ya toyota ist inauzwa bei tsh 10m,imelipiwa kila kitu namba ndio zimewekwa leo. Picha zinakuja soon.

Si ungesubiri picha kwanza, haraka ya nini?
 
Ml10 mmh!!! Bola nichukue passo na chenji inarudi tena nyingi tu
 
Mimi nataka Toyota Premio 2004 ambayo haijakaliwa na mtu wa Bongo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…