Nadhani mwaka 2012/13Hivi namba C ilitoka mwaka gani?
Ni 2012 coz kuna CBYnaijua ilisajiriwa 2012Nadhani mwaka 2012/13
Kwa bei hiyo mkuu kupata ni majaaliwa!Engine Cc. 1290 km 105000 Bei mil 8500000
CAY kwa hiyo bei nyingi sana.. mana hiyo ni namba C ya mwanzo mwanzo kabisa around 2012....
wabongo tunaangalia sana namba kwenyw manunuzi... hiyo namba inakuangusha sana ndugu
Time (year of registration) matters my friend! Nunua sasa kitu chako cha luxury ukiweke ndani miaka 3 halafu ukiuze uone kama hela yako uliyonunulia itarudi!Number siyo issue. Inaweza kuwa C lakini imepaki mda wote..mwenye nayo anafanya kazi sehemu nyingine..au sababu nyinginezo. So tusipende kutumia number kama kigezo cha maamuzi ya kununua gari.
Number siyo issue. Inaweza kuwa C lakini imepaki mda wote..mwenye nayo anafanya kazi sehemu nyingine..au sababu nyinginezo. So tusipende kutumia number kama kigezo cha maamuzi ya kununua gari.