Toyota ist inauzwa 8,500,000tzs

raybse

Senior Member
Oct 22, 2010
104
14
Toyota IST Inauzwa 8,500,000TZS,ni ya mwaka 2003!

Ipo vizuri! Service ya mara kwa mara!

Cheki Picha hapa chini!

Kwa maulizo na manunuzi nicheki kupitia 0759-966623.
 

Attachments

  • IMG-20140721-WA0025.jpg
    IMG-20140721-WA0025.jpg
    80.7 KB · Views: 279
  • IMG-20140721-WA0023.jpg
    IMG-20140721-WA0023.jpg
    55.2 KB · Views: 218
  • IMG-20140721-WA0029.jpg
    IMG-20140721-WA0029.jpg
    71.7 KB · Views: 214
Toyota IST Inauzwa 8,500,000TZS,ni ya mwaka 2003!

Ipo vizuri! Service ya mara kwa mara!

Cheki Picha hapa chini!

Kwa maulizo na manunuzi nicheki kupitia 0759-966623.
Sababu ya kuiuza?

Inapatikana wapi?

Accident record?

Odometer inasomaje?
 
Sasa kwa hiyo bei si bora kufanya ordering mnunuzi mwenyewe,upate used ya Jap na sio double used ya Bongo
 
Sababu za kuuza: Maamuzi tu ndugu yangu!

Inapatikana wapi?: Kwa sasa ipo Iringa ila inaweza kwenda Dar muda wowote na saa yoyote kulingana na mahiji ya mteja.

Accident record: No any significant accident record

Odometer: 70,000Kms.
 
Sasa kwa hiyo bei si bora kufanya ordering mnunuzi mwenyewe,upate used ya Jap na sio double used ya Bongo
Mkuu kwa nini kumkatisha mwenzio tamaa!? Kama unaweza kuagiza likakufikia kwa bei hiyo si upite kimya kimya mkuu??!! Wapo watakahitaji...amini...
 
Wakuu Maxence Melo Invisible hili jukwaa linahitaji muongeze moderation jamani, naona aliyepo wadau wasioelewa wamemzidi idadi, inabidi wawe hata watatu, jukwaa limejaa matangazo tu, hata mtu kunavigate kwenye mambo ya maana inamuwia vigumu.
Naweza kusaidia kufanya usafi humu kwa muda naokuwa free, maana jukwaa linakera sasa!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom