Udochi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,073
- 1,576
Habari,
Inahitajika IST rangi ya Silver au off white, namba E, ambayo haijapata ajali, isiwe na changamoto ya engine, ya gear box, wala kurudiwa rangi.
Kwa mmiliki (siyo dalali) anayeiuza, njoo PM tufanye mawasiliano.
Zingatia: Uwe mmiliki, siyo dalali.