Walad Amin
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 287
- 87
Hizi bei za siku hizi za kukomoana sana
Hizi bei za siku hizi za kukomoana sana
Super profit pursuant.....
Super profit pursuant.....
Mbona Bei kubwa saana. Yaani hiyo mpaka hapa ikizidi saaana Ml 9.
Nini 9ml zinafika hadi 6ml ila vidole havifanani zingine hadi 12ml mpaka hapa.its about choice and condition
Ok, hiyo ni 4WD?
Iko FULLIna redio?
Hata ukipewa bure Japa haiwezi kuwa milion 6 mkuu, unajua gari ukinunua dola 200 utajikuta inafika kwa million 7 issue za kodi ya TZ ndio matatizo makuu.