Jaribu pale Mnazi mmoja
ika magari hayo yana soko sana hasa kwa nchi zenye ucjumi mdogo.Very economy. Zinaobekena kununliwa sana ndo maana zinapanda bei sana
Unaishi Kibaha nini unataka uwe unashare gharama za mafuta na abiria wajao town na kutoka jijini jioni,maana ndio zao wakazi Wa kiluvya,Kibaha kununua magari kama mabasi wanawaza mbali....
Unaishi Kibaha nini unataka uwe unashare gharama za mafuta na abiria wajao town na kutoka jijini jioni,maana ndio zao wakazi Wa kiluvya,Kibaha kununua magari kama mabasi wanawaza mbali....
Mpwa me nilikuwa natania Dully,me mwenyewe nikitoka tabata kwenda town naunga vichwa vitatu vinne,ndio life letu la bongo kisela so usikonde Kamanda wangu Duly