Haupo serious, nani akupigie simu wakati hata hajui gari lipoje, lina rangi gani, limetembea km ngapi, na ni bei gani? Tuwekee picha na details zake, halafu mtu akiridhika nazo ndiyo atakupigia.Iko kwenye hali nzuri, inapiga mzigo vizuri tu... If you're interested piga no. 0754750835 .