Toyota hilux inauzwa- dsm

Babuu blessed

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
1,362
490
toyota hilux,
model RZN147,
manf year 1999,
engn capacty 1998,
curent klm 184,000,
imeingia tanzania 2008,
full ac,radio ipo nzuri,
gear auto.BEI MILIONI KUMI NANANE(18000000)#0713795579 IMG00894-20120730-1839.jpg IMG00895-20120731-0718.jpg IMG00902-20120731-1816.jpg Photo-0028.jpg
 
asee mangi nimeipenda ila kwa kuwa ni auto itanishinda meku.si unajua milimani tena ila ngoja nicheki na kimario na shio nitakujuza arawa
 
Hii kitu imekaa poa sana bwa sheeh,ila tatizo ni moja tu babaangu haitumii rungu etii!!!!!.
 
Hii kitu imekaa poa sana bwa sheeh,ila tatizo ni moja tu babaangu haitumii rungu etii!!!!!.

hapa ndipo walipochemka magar kama pick up wangeyaacha manual,unakuta mama wa kichaga anakupangulia staf gear utapenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom