Weka picha, ni ya mwaka gani?Ipo ya milioni kumi na tano. Shida yake turbo ila kuna fundi kashauri itolewe silinder head ya turbo iwekwe ya kawaida. Eng 2L.
Utapata ila gharama ya matengenezo itakuwa kubwa hizi gar ziko juu sanaHiyo bei sipati?
Weka picha, ni ya mwaka gani?