Toyota hiace inatafutwa

Toyota hiace inatafutwa

lutas mkanula

Member
Joined
Nov 3, 2014
Posts
15
Reaction score
0
Wadau nahitaji toyota hiace highroof,engine 2RZ ya petrol au diesel iwe manual.bajet yangu 12ml,iwe katika hali nzuri.tuwacliane kwa namba hii 0682393738.
 
Mimi nina High roof Engine 5L safi injini haijachakachuliwa,mwisho 15Ml ,interested ?? Tuwasiliane
 
uliipotezea maeneo gani?
na plate no_zake weka incase mtu akiiona.
 
Nipigie kama unanamba yangu tufanye biashara tena leo niko hapa hapa dar
 
Back
Top Bottom