Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,234
- 1,503
Asante sana mkuu.Sio kweli, Harrier ni gari zuri tu. kama unanunua used, just make sure gari ni nzima na unaifanyia service as needed. Go for it, you will definetely enjoy it.
Baadhi ya watu huwa wanalalamika kuwa Harrier zinakula mafuta, hawa huwa nawaambia kwa kipato chao wanunue Vitz na Corolla.
......
Mwisho kabisa u can not compare gari ya juu/kubwa NA hizi ndogo mf vitz n.k maana gari kubwa is more comfortable but also safe just incase ukipata ajari impact yake Kuwa kwenye gari zaid ila imagine upate ajari NA vitz...Mungu nisamehe......
Asante sana Mkuu kwa maelezo mazuri sana.