Toyota Harrier Inauzwa

Toyota Harrier Inauzwa

Don njinji

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2017
Posts
688
Reaction score
1,555
Harrier engine ni 5s
Mwaka 2000
Kms 98000
Namba c
Bei mil 11
Gari Haina tatizo lolote
Karibuni kwa mawasiliano 0620250321
IMG_20190107_113504.jpeg
IMG_20190107_201849_538.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitaka nifanyaje ili uuone huo userious unaoutaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwenye biashala usifanye haya malumbano umeshaweka tangazo muhitaji wa kweli akiona tangazo atalifanyia kazi ila nina ushauri kidogo.

Hiyo gari hapo ilipo itoe ifanyie usafi kisha iweke sehemu penye mandhari nzuri kisha ipige tena picture hizi za zamani zitoe,serious buyer humu wapo ila jua mazingira utakapotangazia biashara yako yatafanya ipewe thamani kubwa au ndogo.

Good luck!

Sent using Redmi Note 5
 
jamaa asipofuata ushauri huu atakuwa bonge la kiazi ulaya
 
Aisee dah hahahahaa muuzaji kaweka tangazo huku kajipanga kabisa sio kwa majibu hayo,

Kwa hapa ni ngumu kupata mnunuzi kwa majibu yake
Jamaa hajui marketing kabisa anasema gari ni zima halafu kalipigia picha gereji huku chini kwenye matairi kaweka mawe halafu gari chafu kinoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom