MPALESTINA MWEUSI
Senior Member
- Jun 6, 2012
- 140
- 117
Gari aina ya Toyota Harrier yenye cc 2200 rangi ya pearl namba D, ipo katika hali nzuri sana, inauzwa Tsh 16,000,000. Kwa mawsiliano piga 0628501275
Ni 2 wheel drive, km 130,000, ipo Dar, haijawahi kupata ajali, ilisajiliwa TZ kwa mara ya kwanza mwenzi march 2015, kwa sasa inatumika kwa matumizi ya kawaida tu, inamilikiwa na mwanaumeGari aina ya Toyota Harrier yenye cc 2200 rangi ya pearl namba D, ipo katika hali nzuri sana, inauzwa Tsh 16,000,000. Kwa mawsiliano piga 0628501275
Ni 2 wheel drive, km 130,000, ipo Dar, haijawahi kupata ajali, ilisajiliwa TZ kwa mara ya kwanza mwenzi march 2015, kwa sasa inatumika kwa matumizi ya kawaida tu, inamilikiwa na mwanaumeweka picha hapa.. tuione!
je, ni 4W au 2W?
Odometer inasomaje?
Ina muda gani toka isajiliwe TZ.?
Nani mmliki wake? ni Me au Ke
Ilishawahi kupata ajali?
Imelipiwa kodi zote (road licence na Insurance)
Ipo mkoa gani na inafanya nini kwa sasa..?
Kwani zinazoagizwa kutoka Japan zinakuwa hazitumiwa, basi wewe unavyojua hiyo used kutoka Japan ni sh ngapi kwa Sasa,harrier old model tena ushaitumia alafu unaiuza mil.16???