Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,573
- 45,465
Duh kaka huku hapana. 12m?Aksante mkuu hailipi,chukua hii Toyota Ipsum kwa 7.7M View attachment 1049336
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh kaka huku hapana. 12m?Aksante mkuu hailipi,chukua hii Toyota Ipsum kwa 7.7M View attachment 1049336
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha humu hamna gari bali kuna BP. Buy this at your own risk
Hili tako la mange mzee baba, tako la nyani ni ile generation ya pili!Tako la nyani hilo
[emoji28][emoji28][emoji28]Uchokozi huo.Hili tako la mange mzee baba, tako la nyani ni ile generation ya pili!
Mi simo...hhhhhh!
Aksante mkuu hailipi,chukua hii Toyota Ipsum kwa 7.7M View attachment 1049336
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Honda crv imeishatangazwa hapa jukwaani kwa bei ya 5.5m
Toa hiyo hela nikupeHii
Hii Honda crv imeishatangazwa hapa jukwaani kwa bei ya 5.5m
Sasa mtu anapigwaje kwenye biashara ya wazi? Hata mtu mwenye udumavu wa akili ni ngumu kupigwa kwenye biashara za aina hii.
Ningetoa hila changamoto ya spare parts kwa hiyo gari ndiyo kikwazo. Otherwise gari bado mbichi