Toyota Harrier (2000) inauzwa

Toyota Harrier (2000) inauzwa

Andre02150

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2010
Posts
332
Reaction score
129
Gari iko ktk hali nzuri sana; amekuwa akiitumia wife. Engine Capacity cc 2160, 2WD.
 
tupiamo basi picha na funguka kabisa bei.Si unajuwa humu we dare to talk openly
 
wewe akili unazo(memberjf) nakuona upo online kwenye huu uzi umedaganya watu kuhusu waraka mpya,unatafutwa kama osama.
 
bado hujaeleweka mkuu. Tupia bei watu wafunguke na si vinginevyo
 
Weka bei na picha mkuu sio tunauziana mbuzi kwenye gunia.....kutembelea waifu sio kigezo cha ubora wa mashine....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom