Kwa nini sipo serious....hiyo gari ni kubwa na ulaji wa mafuta ni mkubwa pia ili na mimi niweze kuiza nilazima nijue hali yake halisi,mikoani kuuza gari yenye scratches au iliyojazwa ugali...PUTTY......ni shida sana.declaration....mimi ni mfanyabiashara wa magari dar to mikoani.