JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,383
- 9,836
Bongo ishafika ndo VITZBongo ikifika ushuru ni hatari
Yap Yaris ni VitzBongo ishafika ndo VITZ
Kanaenda mbio.. hapo wajapani roho zao kwatuuu ππ hukuwa wanashushia mirinda nyeusiii
GR Yaris vs Golf 8 GTI
Wanachomeka wapi hiyo Mirinda nyeus??Kanaenda mbio.. hapo wajapani roho zao kwatuuu [emoji16][emoji16] hukuwa wanashushia mirinda nyeusiii
Unaona sasa mambo yako na weweeee πππWanachomeka wapi hiyo Mirinda nyeus??
VITZ inakuaje Master piece?Yap Yaris ni Vitz
Amekufuru aiseeVITZ inakuaje Master piece?
Mjomba Ni MamaYap Yaris ni Vitz
Umeiona vizuri hiyo gari kweli?kamekwenda juu (center of gravity iko juu) hivyo rahisi kupinduka