Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
- Thread starter
- #21
Weka bei
Mkuu bei imwekwa, tena imeshapunguzwa
Weka bei
Duh! Je ni kweli DYNA ni gari mbovu sana?Hizi gari zinachemsha balaa! Sijui tatizo ni kwenye water reticulation nzima? maana utabadili kuanzia radiator hadi kufungua cylinder head bila madanikio!