huwa nakeleka sana na watu wasio weka picha na specification nyingine,au wanaotaka niwa-pm,sijui huwa hawajiamini,na huenda hayo magari yanakua ni mabovu,sasa fikiria gari linauzwa mil3.5,alafu hakuna specification yeyote tajwa,mara nyingi ni mabovu ukinunua lazima ukae!