Hiko kigari ni kigumu sana mimi nakitumia mwaka wa sita huu hakijanisumbua sana mafuta kinatumia vizuri sana ila kikianza kuzingua tafuta fundi mmoja tu atakayekuwa anakirekebisha sio kila fundi, maana injini yake ni ndogo na iko very complicated, kwa ujumla ni gari nzuri na spare zipo nyingi tuu ingawa ziko juu kidogo sbb sio toyota ni daihatsu toyota duet ni jina tuu