Toyota corsa inauzwa 2.5m

Toyota corsa inauzwa 2.5m

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,942
Reaction score
802
Gari aina ya Toyota corsa inauzwa Tshs 2.5m for more details jus call 0713 234224
 
Picha za Toyota corsa
 

Attachments

  • 1437225174023.jpg
    1437225174023.jpg
    29.7 KB · Views: 1,348
  • 1437225208440.jpg
    1437225208440.jpg
    35.9 KB · Views: 1,260
  • 1437225247960.jpg
    1437225247960.jpg
    55.5 KB · Views: 1,231
bora usingeweka picha mkuu,maana umenikatisha tamaa kabisa
 
bora usingeweka picha mkuu,maana umenikatisha tamaa kabisa

Hahahha, dah jamaa mbavu zangu! Hiyo gari mara 100 ununue bajaj boxer bm150 body mwili unaweza kufika salama lakin si huo mkweche,
 
Hahahha, dah jamaa mbavu zangu! Hiyo gari mara 100 ununue bajaj boxer bm150 body mwili unaweza kufika salama lakin si huo mkweche,

Mkuu tuheshimiane na heshimu biashara za watu kwani sikujui hunijui sio lazima uchangie unaweza ukapita kimyakimya tu nitakuona wa maana sana
 
Jaman ukiona uwezi au hauna haja ya kununua, base ni bora tu upite kimya kwa maana unavyo ponda kuhusiana na biashara ya mtu ni kumrudisha nyuma mteja wake ambaye alikua na nia ya kuichukua hiyo gari
 
Gari yako ni aina gani? Tuwekee picha za ndani na nje.
Wengi mnao comment hamjawahi hata Kuwa na ndugu mwenye gari

We vipi? niweke picha za ndani na nje kwani mm nauza gari? we sema uko wapi nikupe lift kesho, hata hivyo hata kama mm cna gari au ukoo wote hauna gari c kigezo cha kuuziwa gari bovu bhana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom