Toyota Corolla (Limited) MODEL AE91 for SALE at 4.5ML..:)))

mkayala

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
555
72
Toyota Corolla Limited,MODEL AE91 ya mwaka 1990,Engine Capacity 1498 cc,Seat cap 5,Body type SALOON(closed top),GROSS WEIGHT 1000,WHITE COLOUR,Odometer 99,800.......Imetumika kwa matumizi binafsi tu,unaruhusiwa kuja na fundi kuikagua.BEI 4.5ML..........Serious BUYERS press 0764 468 469,Dalali hahitajiki.........DAR.
 
ungeweka picha mkuu, hii biashara ungekuwa unairahisisha zaidi na wala usingetumia maneno mengi
 
Toyota Corolla Limited,MODEL AE91 ya mwaka 1990,Engine Capacity 1498 cc,Seat cap 5,Body type SALOON(closed top),GROSS WEIGHT 1000,WHITE COLOUR,Odometer 99,800.......Imetumika kwa matumizi binafsi tu,unaruhusiwa kuja na fundi kuikagua.BEI 4.5ML..........Serious BUYERS press 0764 468 469,Dalali hahitajiki.........DAR.

Bei nzuri. Kila la heri. Hata hivyo hapo kwenye odometer mmh...
 
Asante mkuu,Odometer ni hivyo coz gari muda mwingi imepaki,haijafanya kazi za mishemishe,ni binasi tu,na mtu anaruhusiwa kuitest hata hadi DODOMA ila aweke mafuta tu!
 
Toyota Corolla Limited,MODEL AE91 ya mwaka 1990,Engine Capacity 1498 cc,Seat cap 5,Body type SALOON(closed top),GROSS WEIGHT 1000,WHITE COLOUR,Odometer 99,800.......Imetumika kwa matumizi binafsi tu,unaruhusiwa kuja na fundi kuikagua.BEI 4.5ML..........Serious BUYERS press 0764 468 469,Dalali hahitajiki.........DAR.

Maneno mazuri sana ila hapo kwenye bei umesahau kitu........ Pungufu tunaongea....... baaaaaasi.
Vinginevyo kila la kheri mkubwa.
 
Ni kweli,katika biashara maelewano yanakuja kwanza BAADA ya mteja kuipenda bidhaa,maelewano ni hatua ya mwisho kabisa kabla ya kuwa THE DONE DEAL....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom