Hizo km angalia tena.. naona hpo sio milioni.. ni 133,041
Haya wenye wazimu na magari kazi kwenu, mimi m42 kuwekeza kwenye hesabu ya laki 1 kwa siku naona kama kwangu haiwezekani, hiyo 42m nikiwekeza kuuza vocha tu za jumla jumla, kwa siku ninakuja mkwanja mrefu sana tena wa maana,
Ngoja kuna jamaa yangu alikuwa anatafuta gari kama hizo nimpe namba yako mkuu
Hiyo ni ya mwaka 1988 na siyo 1998. Hebu jitaidi kuwa mkweli