Andrew Kellei
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 348
- 123
Kwanini unauza?na inaonekana inakunywa mafuta sana.
Six hilo linameza mafuta balaa
Kwanini unauza?na inaonekana inakunywa mafuta sana.
inanguvu sana, ila usiwe na mafuta ya mawazo
kwa mnaojua,hilo gari linafaaa kwa kufanya biashara ya taxi???au ndio hasara kwa sababu ya mafuta???nielekezeni....nataka kununua ila punguza bei nina million tatu...lol
Kweli mkuu kwenye hilo halina ubishi.Huwa yanachanganya haraka sana hasa ukibonyeza zile button za power na overdrive unapiga overtake kwenye mlima mkali kama kitonga na speed zaidi ya 120km/hr.
Haya unayosema ni kweli mkuu au ndo kuvutia biashara?
kaka nna 3.5M,kama inalipa niPM tufanye biashara faster
Mkuu kwa wana JF naweza kupunguza hapo laki moja so fanya 3.9 uchukue mashine hiyo.mimi nina 3.6m. Tufanya biashara?