Toyota CARMY na BREVIS

Fmruma

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
498
782
Mwaka huu nataka kuvuta machine ila nimeangukia kwenye hzo gari mbili ..ushauri tafadhali hasa kwenye comfortability na uimara MAFUTA SIO ISSUE
 
tatizo camry ina sura mbaya, sijui kwanini gari za mjapani kuanzia 2008 zimeundwa hivyo!
 
brevis engine kimeo 4d hamna kitu,,, mbaya zaid ikishaanza kukusumbua ndo utaichukia na kuiuza n shuhuli
 
ukikwama kabisa chukua mark 11grand new model nzur kweli iangalie ipo kitaa saiv
 
Achana na Brevis,kiumbo na mwonekano ni nzuri,lakini ni kimeo,utakuwa rafiki mkubwa wa mafundi gereji.Beba Carmy
 
Dah, sasa tutatumia gari zipi! kila ambayo nafikiria kuitia mikononi wadau wanasema kimeo. Nilidhani x trail ziko poa, niliposoma maoni ya wadau nikachoka linapokuja suala la spare na ubovu mwingine. Sasa najipanga nipate brevis, hali ndio hiyo kimeo. Endeleeni kutoa ushauri unatufaa wengi.
 
mbona x trail iko poa mkuu ni kati ya gari ninazozikubali ninayo ya mwaka 2005 haijawai kunisumbua, inachohitaji ufanye service ya maana sio ya magumashi kama zilivyo gari nyingi za toyota, halafu spare zake ukifunga ni mkataba unachimba barabara zote za makorongo vumbi bila shida
 
Kuna ule uzi unaohusu hizi gari, niliposoma maoni ya wadau, na baadhi walisema kuna spare za mpaka milioni mbili na ushee na pia sensor zinasumbua nikanyoosha mikono. Kwa sasa nafikiria wish au ipsum ingawa wadau wanasema ipsum inabugia wese
 
kwann usichukue klugger kama uliipenda xtrail
 
Back
Top Bottom