Toyota carina for sale

LACHERO

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Posts
478
Reaction score
281
Gari aina ya Toyota Carina Ti inauzwa. Ina engine cc 1500 with reg. No T 698 CLG Gari iko bomba na iko barabarani. Bei ni milioni 9.5 maelewano yapo. Kwa mawasiliano piga 0757468020
 
Imekuwa imported mwaka jana kaka! Ila ni ya mwaka 2000
 
onyesha sehemu iliyogongwa,umbali.pia 9.5m ni kubwa sana kw Carina hiyo,fanya 6.5m
 
Kaka kwa bei tajwa it's better kuagiza moja kwa moja anyway price yako ya mwisho ni ngapi?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sawa mimi dalali utakaponunua utajua kadi inajina la nani!
 
Kaka kwa bei tajwa it's better kuagiza moja kwa moja anyway price yako ya mwisho ni ngapi?

Sent from my iPhone using JamiiForums

Kaka nane na nusu mwisho! The car is just as new with alloy reams 15" new tires na music system nzuri! Na its very clean inside hadi kwenye engine!
 
Naona mwalimu umekopa unataka kukaa kwa lami nawe

Hata mawaziri wanakopa sembuse walimu, koma kuwadharau au kuona walimu ndio wa kila mfano mbaya.

Nimekuwa na kupata malezi kwa shangazi yangu mwalimu. nachukia dhihaka kama zako lusungo unapowafanya walimu ni mfamo kwa kila baya!
hawapendi waiishi wanavyoishi ila ni kwa kuwa serikali haitambui michango yao na pia kwa sababu wanataka Taifa lijae walemavu wa fikra ili utawala wao uridhoshwe kwa bizazi vyao!
 
Last edited by a moderator:
Kaka nane na nusu mwisho! The car is just as new with alloy reams 15" new tires na music system nzuri! Na its very clean inside hadi kwenye engine!

Mkuu mbona umeweka picha za zamani, unaonaje ukiweka picha zinazoonesha mwonekano wa gari hivi sasa!
 
Please find more pics for your refence!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Mkuu nimeongeza picha japo hazina tofauti na za zamani!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Asante mkuu kwa kunisaidia!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…