Toyota caldina 1998 inauzwa

Toyota caldina 1998 inauzwa

perepeche

Senior Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104
Reaction score
41
gari aina ya toyota caldina inauzwa
bei:5,200,000/=
engine size:1899cc
engine type:7A 4 cylinder
colour gray
transmission:automatic
year of manufacture:1998
imported:2007
clean accident history,airbag still intact
motorvehicle road licence expires on march 2015,insurance september 2015
in running condition
odometer readings:122526
imebadilishwa CV joint,Rack ends,front brake pads,transmission oil,spark plugs.

Matatizo;
indicator ya mbele kushoto imepasuka,kioo cha mbele(windscreen)kina crack ndogo upande wa kulia
brake shoe za nyuma hazijabadilishwa bado na bush za mbele

mazungumzo ya bei(negotiations);
bei ya gari inazungumzika,maelewano yatajikita kwenye gharama za marekebisho ya gari,kwamba mnunuaji aliye serious ataikagua gari na makadirio ya matengenezo ya gari yatatolewa kutoka katika bei tajwa ya mauzo ya gari
NB;
Picha zilizowekwa hapa ni kwa ajili ya kuonesha muundo wa gari,ninapost kutokea kwenye computer nyingine sababu nipo mbali na computer yangu kwa sasa,kwa mnunuaji serious anipigie kwa namba 0785467879
 

Attachments

  • caldina.jpg
    caldina.jpg
    14.7 KB · Views: 429
  • caldina2.jpg
    caldina2.jpg
    15.3 KB · Views: 328
Kwa hali hii utakesha sana........ni kumuuzia mteja mbuzi kwenye gunia....
 
Umejielezea vizuri, na jinsi gari yako ilivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom