Nashukuru sana kwa ushauri mzuriHizo engine ni nzuri sana na safar hapo ni ya uhakika,,isipikuwa usije ukarogwa ukatia oil fake,,na usije ukaweka petrol fake humo,,utajuta pia usipende kuichokonoa hiyo engine,,peleka kwa fund anayejua kanun za ufundi,,sio taa haiwak fund anaanza kufungua mavitu hovyo bila kujua mfumo wa taa unaanzia wap,,hiyo engine haitak vitu fake,, ila ni engine saf sana,,ukiitunza na kuihudumia kwa ufasaha
Maoni yangu nikiwa kama muuza magari,Wadau naomba kufahamu kuhusu gari aina ya Toyota Brevis, Engine D4 vvti. Je ziko imara au zina matatizo gani haswa na matunzo yake.Ahasentini
Well said!Hizo engine ni nzuri sana na safar hapo ni ya uhakika,,isipikuwa usije ukarogwa ukatia oil fake,,na usije ukaweka petrol fake humo,,utajuta pia usipende kuichokonoa hiyo engine,,peleka kwa fund anayejua kanun za ufundi,,sio taa haiwak fund anaanza kufungua mavitu hovyo bila kujua mfumo wa taa unaanzia wap,,hiyo engine haitak vitu fake,, ila ni engine saf sana,,ukiitunza na kuihudumia kwa ufasaha
2007!Hizi brevis toleo la mwisho ni la mwaka gani?
..Bei zikoje mkuu?Maoni yangu nikiwa kama muuza magari,
Hizi gari ni moja kati ya gati bora na nzuri sana.
Zina perfomance nzuri na zinadumu mno ukizingatia matunzo.
Pia, hata utumiaji wake wa mafuta ni wa kawaida mno, kuliko wengi wanavyo dhani.
Ikiwa kama wewe labda ni mpenzi wa "ligi" za barabarani. Yenye 3,000cc inakufaa mno sababu ni 2jz engine
Ila ikiwa wewe ni mtu wa kupenda mwendo wa kawaida, basi 2,500cc ni nzuri pia kwa kuwa ni 1jz engine.
Uzuri ni kwamba, hio toyota lexus IS yaani altezza yenyewe, ni uzao huo wa kwenye brevis
Pia, toyota brevis ni sawa tu na toyota progres maana toyota progress ni pacha wa brevis.
Na hizi zilitengenezwa kwa lengo la kupambana na hizi Bmw 3-series na Mercedes C-class za miaka hio.
So, unapokua na brevis, basi jione kuwa una gari nzuri na yenye nguvu na ya kistaarabu.
Unapokua na brevis, ni sawa na una toyota altezza au lexus IS.
Brevis ni gari nzuri na imara sana, ila tu kumbuka kwamba, system yake kubwa ni ya umeme hivyo kwenye service inahitaji mafundi wazuri.
Hayo ndio maoni yangu!
....Kuna moja ya mwaka 2004 kwenye mtandao nimecheki price na kodi imefika around 11 million, sijui ndo bei zake?2007!
Brevis zilianza 2001 - 2007Hizi brevis toleo la mwisho ni la mwaka gani?
Niingia kwenye hii life style. Ukiona iko na rangi ya malooooon ujue niko nyuma yako.Maoni yangu nikiwa kama muuza magari,
Hizi gari ni moja kati ya gati bora na nzuri sana.
Zina perfomance nzuri na zinadumu mno ukizingatia matunzo.
Pia, hata utumiaji wake wa mafuta ni wa kawaida mno, kuliko wengi wanavyo dhani.
Ikiwa kama wewe labda ni mpenzi wa "ligi" za barabarani. Yenye 3,000cc inakufaa mno sababu ni 2jz engine
Ila ikiwa wewe ni mtu wa kupenda mwendo wa kawaida, basi 2,500cc ni nzuri pia kwa kuwa ni 1jz engine.
Uzuri ni kwamba, hio toyota lexus IS yaani altezza yenyewe, ni uzao huo wa kwenye brevis
Pia, toyota brevis ni sawa tu na toyota progres maana toyota progress ni pacha wa brevis.
Na hizi zilitengenezwa kwa lengo la kupambana na hizi Bmw 3-series na Mercedes C-class za miaka hio.
So, unapokua na brevis, basi jione kuwa una gari nzuri na yenye nguvu na ya kistaarabu.
Unapokua na brevis, ni sawa na una toyota altezza au lexus IS.
Brevis ni gari nzuri na imara sana, ila tu kumbuka kwamba, system yake kubwa ni ya umeme hivyo kwenye service inahitaji mafundi wazuri.
Hayo ndio maoni yangu!
UKiagiza inafika huko.....Kuna moja ya mwaka 2004 kwenye mtandao nimecheki price na kodi imefika around 11 million, sijui ndo bei zake?