Toyota Brevis Air Conditioner

Donkey

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
1,431
1,448
Wana Jamii naomba kwa yeyote anayefahamu anisaidie. Niliagiza toyota brevis toka Japan tatizo AC haileti ubaridi, compressor inazunguka, gas imo ya kutosha,nimepewa ushauri na mafundi kuwa compressor imekufa inatakiwa kubadilishwa ila bado sijaafiki, je kuna yeyote aliyewahi kupatwa na tatizo hili anisaidie jinsi ya kulitatua?
 
Cheki vyote pamoja na condenser pia?

Au kama upendi kutengeneza tengeneza, niuzie
 
Wana Jamii naomba kwa yeyote anayefahamu anisaidie. Niliagiza toyota brevis toka Japan tatizo AC haileti ubaridi, compressor inazunguka, gas imo ya kutosha,nimepewa ushauri na mafundi kuwa compressor imekufa inatakiwa kubadilishwa ila bado sijaafiki, je kuna yeyote aliyewahi kupatwa na tatizo hili anisaidie jinsi ya kulitatua?

Mzeee nenda kasafishe AC filter itasolve tatizo. Utuletee majibu
 
Nenda wapime compressor ili ujue kama ni nzima au tayari imeharibika, compressor yaweza kuzunguka lakini ikawa haifanyi kazi/imekufa. Kupima compressor hakufanyi gari ichafuke wala hawafungui vitu vingi.

Either way, safisha mfumo mzima wa air conditioning, pipes, filter etc then angalia kama kuna slow leakage au vipi. Then jaza gas na tumia, utajua kama shida ni compressor, filter au nini.
 
Nashukuru sana, ukiwasha AC unasikia mlio unabadilika na kuwa kwenye kawaida gari ikiwashwa Ac,je bado itakuwa compressor ni mbovu?
 
Sijaelewa swali lako, ukiwasha ac mlio unabadilika? Compressor inapiga kelele au nini shida?
 
Yaani ukiwasha AC kila kitu kinakwenda sawa kasoro kutoa baridi, AC ikiwashwa inatumia nguvu ya engine so ninasikia mabadiliko ya mlio wa engine kama inasuma kitu
 
Mtafute huyu fundi, 0652169818, yupo Dar mtaa wa Lindi, karibu na geti la mwendokasi zinapoingia daladala za Temeke. Atafanya test ya gas, compressor na evaporator.

Ila kama hamna ubaridi, huenda gas imeisha au compressor inazunguka lakini ina tatizo. Muone jamaa atakusaidia.
 
Nashukuru sana
 
Wana Jamii naomba kwa yeyote anayefahamu anisaidie. Niliagiza toyota brevis toka Japan tatizo AC haileti ubaridi, compressor inazunguka, gas imo ya kutosha,nimepewa ushauri na mafundi kuwa compressor imekufa inatakiwa kubadilishwa ila bado sijaafiki, je kuna yeyote aliyewahi kupatwa na tatizo hili anisaidie jinsi ya kulitatua?

Je Compressor ina engage? Huwa iki engage inatoa kamlio kama kugonga hv.

Nina mashaka unayosema inazunguka. Huenda ni ile wheel ya juu inazunguka tu bila ku engage clutch.
 
Ndiyo kabisa.compressor ina engage.yaani ukiwasha gari halafu ukiwasha AC utasikia mlio wa engine unaongeza na feni kuzunguka
 
Kuna ile sehemu ina kama ka jicho ka kuangalia gas inavyopita kwenye pipe, kama gas ipo ya kutosha AC ikiwa on hutakiwi uone kitu kama mapovu yanapita.
 
Je Compressor ina engage? Huwa iki engage inatoa kamlio kama kugonga hv.

Nina mashaka unayosema inazunguka. Huenda ni ile wheel ya juu inazunguka tu bila ku engage clutch.
Huenda compressor ika-engage lakini ikawa haina nguvu, au imekufa. Mara nyingi kama compressor imekufa/haina nguvu gari ikiwa silencer AC haileti ubaridi, hadi ukanyage wese, au uanze kutembea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom