Kumbe huyu ndio Spark ???Ww mtoto mdogo sn, endelea kutukana naweza kukutafuta na kukufanya chochote, heshimu kazi za watu sijakufanyia kosa lolote kudalalia magari ww haikupunguzii wala kukuongeza chochote, nakushauri tu achana na mm View attachment 1662385
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Ww mtoto mdogo sn, endelea kutukana naweza kukutafuta na kukufanya chochote, heshimu kazi za watu sijakufanyia kosa lolote kudalalia magari ww haikupunguzii wala kukuongeza chochote, nakushauri tu achana na mm View attachment 1662385
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Yani haka katoto ndio kaniumize mm kichwa? Nimekapekua haijachukua hata dk 5View attachment 1662387
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Chalii ameona atoke nduki haraka sana,hahah.Hayo marinda yenyewe sijui kama unayoView attachment 1662388
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Samahani mkuu ila wewe ni fala uliyekuja haribu biashara ya watu.Alama ya kuuliza maana yake nini?
Madalali nendeni shule
Nataka kujua, je, original engine ya Toyota iliibiwa ndio ikafungwa engine ya boda boda?
Hawezi kurudi tena, anatukana matusi bila sababu wala sikukumkosea chochote alifikiri ni ngumu kumjua kumbe mtoto mdogo tu hasumbuiChalii ameona atoke nduki haraka sana,hahah.
mkuu na mm namba yangu ya simu ni ipiHawezi kurudi tena, anatukana matusi bila sababu wala sikukumkosea chochote alifikiri ni ngumu kumjua kumbe mtoto mdogo tu hasumbui
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Namba yako huijui? Bonyeza *106#mkuu na mm namba yangu ya simu ni ipi
nlitaman anitajie yangu nimpe cheoNamba yako huijui? Bonyeza *106#
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ww sio mchokozinlitaman anitajie yangu nimpe cheo
[emoji23][emoji23][emoji23] yan ningekupigia saluti sio mchezo kuipata
3sge fe.engine yenye mbio nyingi na nguvu kibao hapa yamaha aliikoleza kidogoi nnayo ila 6 ni gari ya safari kwa kweliGari toyota altezza inauzwa mil 6.5
Engine yamaha vvti, 4 cylinder, cc 1980, full music, full AcView attachment 1662040View attachment 1662041View attachment 1662042View attachment 1662043View attachment 1662044View attachment 1662045View attachment 1662046View attachment 1662047
Ww mkenya, nitaipataje na ww upo kwenu kenya huko[emoji23][emoji23][emoji23] yan ningekupigia saluti sio mchezo kuipata
Ni kweli ipo vzr3sge fe.engine yenye mbio nyingi na nguvu kibao hapa yamaha aliikoleza kidogoi nnayo ila 6 ni gari ya safari kwa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole sana mkuu hapa sasa nimejua huwezi nitambuaWw mkenya, nitaipataje na ww upo kwenu kenya huko
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Nimechanganya nilijua mkenya kumbe mkurya wa tarime huko [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole sana mkuu hapa sasa nimejua huwezi nitambua
mbona dogo kama siyo riziki...Yani haka katoto ndio kaniumize mm kichwa? Nimekapekua haijachukua hata dk 5View attachment 1662387
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] Jf Raha Sanaaa
Kamekimbia hakiongei tena jeuri, nakapigia simu hakapokeimbona dogo kama siyo riziki...
Hahaaha we mkuu ni noma yaan umempekua mpaka basi πππππHayo marinda yenyewe sijui kama unayoView attachment 1662388
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Kayataka mwenyewe, kawa mpole sn kanaitwa nico alifikiri ni ngumu kumjuaHahaaha we mkuu ni noma yaan umempekua mpaka basi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi kaogopa kuja kujibu humu