Hapa amna cha kujua mzee mambo hadharani, hapo ndio utakumbuka ule wimbo wa bukuku wa dunia haina huruma 😅😅😅Humu jamii forum bwana,watu wajuaji kweli kweli,kumbe kuna watu wanawajua in and out.. Kuna dada mmoja pia watu walimpiga spana humu ndani,wakaweka hadi picha zake,sijui alikula mshiko wa jamaa!! Yaani that day ndiyo nilijua kumbe dunia haina huruma!
Mm bwana siku zote kama mtu namjua wala simuogopi, kwanza najua ananijua na yeye namjua kwahiyo hawezi kunifanya kitu sababu ya kujuana na aibu, ndomana unaweza kukuta unandugu yako polisi au mwanajeshi wala humuogopi mnaweza kugombana na kutukanana na asikufanye kitu chochote zaidi ataomba kikao cha kifamilia cha kuwasuluhishaHumu jamii forum bwana,watu wajuaji kweli kweli,kumbe kuna watu wanawajua in and out.. Kuna dada mmoja pia watu walimpiga spana humu ndani,wakaweka hadi picha zake,sijui alikula mshiko wa jamaa!! Yaani that day ndiyo nilijua kumbe dunia haina huruma!
Hahahaha, dogo hizo picha zako zilizoibuliwa humu na ndugu Dalali zinasadifu wewe ni kiumbe wa namna gani. Hizi shule za bweni zimeharibu sana vijana wengi mno, pole sana kwa wazazi wako aisee.Wenzako wanakupumulia kisogoni!
Mkuu naomba namba ya yule dada ako! Au saiv kaolewa?[emoji16][emoji16][emoji16]Hahahaha, dogo hizo picha zako zilizoibuliwa humu na ndugu Dalali zinasadifu wewe ni kiumbe wa namna gani. Hizi shule za bweni zimeharibu sana vijana wengi mno, pole sana kwa wazazi wako aisee.
Ha ha ha ha haaa! hakika hiki ni kituko! huu uzi umetia fora kati ya nyuzi nyingi za wauza magari, na kupitia uzi huu madogo wa humu wajifunze na waache ujinga kabisa. Na ha haa!Naitizama sura ya huyu kijana kwakweli bado kinda msamehe aisee ni utoto tu tatizo lake kubwa naona kakaaaa katafakari sijui akapata kina wamemshauri akane picha na namba zake
hahahaaa kaja hapa mbio kutuaminisha sio yeye kumbe watu wamesha quote alipo kiri namba zake na picha yake naona karudi tena uvunguni sijui atakujaje tena ngoja tumsubirie.
Yaan hii kwangu naona kama comed inanifurahisha kwakweli naendelea kufuatilia kisa hiki kwa ukaribu kabisa na umakini mkubwa
Na mm naomba namba ya dada yako Mage au nae kaolewa?Mkuu naomba namba ya yule dada ako! Au saiv kaolewa?[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaa..tuwekee picha zake apa!Na mm naomba namba ya dada yako Mage au nae kaolewa?
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Dogo anaonekana WANAMPARAMIA huyu, Wazazi tuna kazi sana miaka hii.Ww mtoto mdogo sn, endelea kutukana naweza kukutafuta na kukufanya chochote, heshimu kazi za watu sijakufanyia kosa lolote kudalalia magari ww haikupunguzii wala kukuongeza chochote, nakushauri tu achana na mm View attachment 1662385
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app