dalali jugo
Senior Member
- Dec 18, 2020
- 112
- 182
Gari toyota altezza inauzwa mil 6.5
Engine yamaha vvti, 4 cylinder, cc 1980, full music, full Ac
Engine yamaha vvti, 4 cylinder, cc 1980, full music, full Ac
Nimeweka mil 6.5weka bei mdau..
Aiseee...Engine yamaha vvti,
Kama hujui kitu au hujaelewa uliza au kaa kimya sio lazima kila mtu ajue ujinga wakoAiseee...
yani ina engine ya piki piki, YAMAHA ?
Alama ya kuuliza maana yake nini kama sio swali nimekuuliza? Madalali nendeni shule sasa.Kama hujui kitu au hujaelewa uliza au kaa kimya sio lazima kila mtu ajue ujinga wako
Daah we jamaa sio muelewa kabisa ebu uliza kwanza ueleweshwe, aliyekwambia imefungwa engine ya bodaboda naniAlama ya kuuliza maana yake nini?
Madalali nendeni shule
Nataka kujua, je, original engine ya Toyota iliibiwa ndio ikafungwa engine ya boda boda?
Siku nyengine usiwe unakurupuka kusema imefungwa engine ya bodabodaAlama ya kuuliza maana yake nini?
Madalali nendeni shule
Nataka kujua, je, original engine ya Toyota iliibiwa ndio ikafungwa engine ya boda boda?
Uwe muelewaAlama ya kuuliza maana yake nini?
Madalali nendeni shule
Nataka kujua, je, original engine ya Toyota iliibiwa ndio ikafungwa engine ya boda boda?
Ungeenda kuchungulia google ungeficha ujinga wakoAlama ya kuuliza maana yake nini?
Madalali nendeni shule
Nataka kujua, je, original engine ya Toyota iliibiwa ndio ikafungwa engine ya boda boda?
Sasa angalia hii engine ya hii gari, nadhani sasa umeelewa, tena ningeweza kusema engine ni 3S-GE wataalamu wangeelewaAlama ya kuuliza maana yake nini?
Madalali nendeni shule
Nataka kujua, je, original engine ya Toyota iliibiwa ndio ikafungwa engine ya boda boda?
Msamehe bure mkuu!Daah we jamaa sio muelewa kabisa ebu uliza kwanza ueleweshwe, aliyekwambia imefungwa engine ya bodaboda nani
Jamaa hakuelewa, angeweza kuuliza kistaarabu ningemuelewesha kuliko alivyoulizaMsamehe bure mkuu!
Yes hakutumia ustaarab, hasa ukizingatia hili ni tangazo la biashara angeweza kupotosha hata mwenye nia ya kuinunua.Jamaa hakuelewa, angeweza kuuliza kistaarabu ningemuelewesha kuliko alivyouliza
Sio mtaarabu kwakweli, haya kashajua engine sio ya bodaboda aje tufanye biasharaYes hakutumia ustaarab, hasa ukizingatia hili ni tangazo la biashara angeweza kupotosha hata mwenye nia ya kuinunua.