Toyota Altezza inauzwa!!! (iko njiani from Japan)

Ahsante mkuu,
Nafikiri wanafikiria kwanza na kujishauri!!

Kagari kazuri sana hako, kanakimbia sio mchezo. Kwa wale vijana vijana izo ndo gari za kutesea mjini changamjieni bei yake ndo iyo na naiona iko saaaafi kabisa

Shakir vipi Suzuki grand escudo 2.0 ya kuanzia 2002?
 
Kaka,
Masuala ya Engine sio mtaalamu sana, na ukweli sikufuatilia.

Labda unisaidie aina mbalimbali za Engine zinazotumika kwenye haya magari ili niulizie hii ipo kwenye kundi lipi.

kwa nnavoiona itakuwa na engine ya Yamaha (black top) 3s-GE, ni engine nzuri zaidi kuliko beam 2000 (1G-Fe)...nice car
 
kwa nnavoiona itakuwa na engine ya Yamaha (black top) 3s-GE, ni engine nzuri zaidi kuliko beam 2000 (1G-Fe)...nice car

Duh,
Yaani sikutegemea kabisa kama watu wa Yamaha wapo pia na huku.
Nikisiaga hili jina najua ni Jenereta, Engine ya Boat au Pikipiki
 
Wanunuzi wa kweli huwa hawacomment hapa, huwa wanapm na kupiga simu moja kwa moja.
sisi wote hapa tunaobishania buti ni 5th door sio wanunuzi.

jama kha hebu mmoja ajitokeze mpeni ushirikiano sio mnacoment tuu nunueni bwana
 
Wanunuzi wa kweli huwa hawacomment hapa, huwa wanapm na kupiga simu moja kwa moja.
sisi wote hapa tunaobishania buti ni 5th door sio wanunuzi.
Kwani kama hii gari ingekua na Sunroof kwa juu ambayo inafunguka kuweza kutoa kichwa, au kiwiliwili kupita nayo ingehesabika kama mlango?

Mkuu nafikiri wapo watakaokua washawasiliana na Mkuu Shakir
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom