Toyota alteza urgently needed!!

Toyota alteza urgently needed!!

DONALD

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
275
Reaction score
35
Kama unauza Toyota Alteza ya 2002 mpaka 2004,km ilizotembea zisizidi au ziwe sawa na 90,000km,rangi iwe

SILVER,WHITE
, BLACK na BROWN,Iwe na registration no.CD...mpaka CY... na kuendelea au mpya kabisa ambayo haina reg.# bei

iwe 8M mpaka9M anicheki apa 0755 927881,as its urgently needed.. make sure unaweka picha ili gari ionekane.
(isiwe imewahi pata ajali)

Kama pia una benz yenye vigezo kama hivyo apo juu naomba tuwasiliane..uweke picha kwanza...
 
Alteza ipo bei ni mil 9 ngoja nitakutumia picha mkuu. Au nicheki kwa namba 0716805201.
 
Kama unauza Toyota Alteza ya 2002 mpaka 2004,km ilizotembea zisizidi au ziwe sawa na 90,000km,rangi iwe

SILVER,WHITE
, BLACK na BROWN,Iwe na registration no.CD...mpaka CY... na kuendelea au mpya kabisa ambayo haina reg.# bei

iwe 8M mpaka9M anicheki apa 0755 927881,as its urgently needed.. make sure unaweka picha ili gari ionekane.
(isiwe imewahi pata ajali)

Kama pia una benz yenye vigezo kama hivyo apo juu naomba tuwasiliane..uweke picha kwanza...

Mkuu kama unaweza kuja hapa magomeni mapipa gari zipo 4 ni wewe tu utakayoipenda. Namba yngu nimeweka hapo juu.zote ni alteza.
 
weka picha babaa!

Nipo mbali mkuu kuna mtu nimemwambia anitumie whatsapp ila naona kimya ndo maana nikasema kama upo powa uje hpa magomeni mapipa uje kuziona. Si dhani katika zote nne kama utazikataa. Trust me najua picha muhimu.
 
Kama unauza Toyota Alteza ya 2002 mpaka 2004,km ilizotembea zisizidi au ziwe sawa na 90,000km,rangi iwe

SILVER,WHITE
, BLACK na BROWN,Iwe na registration no.CD...mpaka CY... na kuendelea au mpya kabisa ambayo haina reg.# bei

iwe 8M mpaka9M anicheki apa 0755 927881,as its urgently needed.. make sure unaweka picha ili gari ionekane.
(isiwe imewahi pata ajali)

Kama pia una benz yenye vigezo kama hivyo apo juu naomba tuwasiliane..uweke picha kwanza...

Ngoja nikufanyie mpango wa picha mr...
 
Hii hapa mr wewe tu
 
Attachments

  • IMG-20140717-WA004.jpg
    IMG-20140717-WA004.jpg
    47.1 KB · Views: 277
  • IMG-20140717-WA005.jpg
    IMG-20140717-WA005.jpg
    65 KB · Views: 264
  • IMG-20140717-WA006.jpg
    IMG-20140717-WA006.jpg
    50.5 KB · Views: 246
  • IMG-20140717-WA007.jpg
    IMG-20140717-WA007.jpg
    65.7 KB · Views: 247
  • IMG-20140717-WA010.jpg
    IMG-20140717-WA010.jpg
    73.9 KB · Views: 217
  • IMG-20140717-WA008.jpg
    IMG-20140717-WA008.jpg
    68 KB · Views: 234
  • IMG-20140717-WA009.jpg
    IMG-20140717-WA009.jpg
    63.4 KB · Views: 228
MKuuu nimeona picha but vegezo na masharti kuzingatiwa...! number iwe CD...mpaka CY...

But si issue let me know your price...!
 
mkuuu nimeona picha but vegezo na masharti kuzingatiwa...! Number iwe cd...mpaka cy...

But si issue let me know your price...!
donald hii gari ipo magomeni haijatumika sana still nzima kabisaaaa inauzwa mil9 net net we mwenyewe utaipenda. For more detail ni cheki kwa namba hii 0716805201. Trust me.
 
Watu wengine sijui hamna kazi za kufanya, mtu anaweka tangazo,ya kuwa anahitaji kitu fulani,alafu from no where mtu unaanza kuweka comments za chafu "achana nae huyo,hana pesa huyo anakuzingua"@ Msarendo.

Unifahamu,sikufahamu,kwa nini unaweka maneno ambayo hayajengi wana JF ??

Naomba uache mara moja na uwe na heshima na posting za watu,heshima kitu cha bure!
 
MKuuu nimeona picha but vegezo na masharti kuzingatiwa...! number iwe CD...mpaka CY...

But si issue let me know your price...!

ELA YAKO MBUZI ALAFU UNA MASHARTI MEEEEEEEEENGI. Wewe sio mnunuzi. Unafanya window shopping tu. Jipange.
 
Watu wengine sijui hamna kazi za kufanya, mtu anaweka tangazo,ya kuwa anahitaji kitu fulani,alafu from no where mtu unaanza kuweka comments za chafu "achana nae huyo,hana pesa huyo anakuzingua"@ Msarendo.

Unifahamu,sikufahamu,kwa nini unaweka maneno ambayo hayajengi wana JF ??

Naomba uache mara moja na uwe na heshima na posting za watu,heshima kitu cha bure!

huna pesa wewe Masharti kabaooo.
 
Gari imepatikana wakuu,asanteni sana kwa ushirikiano wenu...!!
 
Back
Top Bottom