Ipo kwenye hali zuri sana .automatic gear.petrol engine price 8.5mil maelewano yapo .for more information contact 0713959290
Ungeweka picha na odometer inasoma ngapi ingesaidia sana
Ungeweka picha na odometer inasoma ngapi ingesaidia sana
hakuna cha picha wala nini wengi humu sio wanunuzi