Toxic Bachelors!

Kama unadhani wazuri wasogezee dadako au mpenz zako uisome namba
Kwa jibu hili ni bora ukianzisha sred usiwe na hasira mkuu. Haya ni masuala ya kawaida na wengi yanawapata. Nina mfano kuna jirani yangu kaolewa akiwa na 47 na mwanaume ana 50 na hakuwahi kuoa au kuwa na mtoto (both of them). Maisha ni game of chance
 
Me mbina sina hasira bro!
Wewe tu umepanic

Basi njoo huku usome
Bubu wa Kugongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…