Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
What about toxic spen(c/s)ers?... McjiteteeNimeskia sana kuhusu hawa bachelor sugu mtaani wanajulikana kama toxic bachelor
Aged 41-47, wengi wanakuwa wameamua kiwa single but not committed wao wanapenda bubaaa tuu na kukupa empty promise ulainike ujue kweli!
Plus wanapenda sana kuwapiga Single women, single mothers ....and Desperate ones!
Rafkiangu alikutana na bachelor m1, kwenye mataa ya kutoka posta wakiwa kwenye foleni, wakasalimiana wakavuka mataa wakafika ya redcross wakasimama tena waka exchange contacts!
Wakadate 2 - 3 times lakini mwanaume alikiwa na zile mambo za we weee wee!
We will gooo... we will do this... we will do thaaat... weee wee weee!
Sitaki kuku hit and run .. ninataka fyucha na wewe ... nakupenda kikweliii .. bachelor sasa anaongeaa
Hakujua rafkiangu mwenyewe mwendo kasi kama money penny
Siku wamepanga kukutana for match, rafkiangu akavaa pedi feki, jamaa akakagua akaikutaaa, akamvumilia siku 7 kadanganywa anaenda mp!
Baada ya siku 7 rafkiangu akamwambia ubajua me bikra, sijui kabisa mechi! Toxic bachelor kakomaa ntaku teach, rafkiangu akamwambia sawa nina hizi HIV medical test nataka tupime kabla hatuja duuu!
Kwani alitokea sasa huyu Toxic Bachelor?! Anaanzaje sasa hata simu hapigi tena wala sms hatumiii... ndo ivyo ikawa mwishoo wa toxic bachelor ku exist kwenye maisha ya rafkiangu! Very Stuuupeeeed Men!
Alafu sio peke yake, wengine walishadanganywa mpaka wakazalishwa watoto 2, 3, hamna cha ndoa wala sherehe
Nuna marafiki wameshapata hata na ukimwi wamerudi kijijini kulimaaaa!
Najua times are hard now in Tz, na naelewa sana, single women loves to hear a word WE! Ila ndo muwe carefull maana naskia toxic bachelor wamemwagwa Dar sasa hivi wapo kibaoo! Kwenye ma night clubs na big hotels!
Have you met those guys?! Je ushawahi kukutana na hao Toxic Bachelor maishan mwako?!
Tupe Dvd kwako ilikuwaje!
Una maana spinsters?! Hahaha au me ndo sijui spelling ndugu yangu?!What about toxic spen(c/s)ers?... Mcjitetee
Love.. Anazungumzia players.. Wanaume wapigaji.. Hit and run...
Sasa kama wewe unataka usioe haimaanishi mwenzio hataki kuoa au kuolewa lakini msitufanye nguzo za Tanzania na kutuharibu kisa hautaki kitu flanTatizo ni pale kila kijana anapodhani parenting and/or / marriage is everyone cup of tea.........
Fikra potofu ni mbaya sana... this will once be a myth of our generation.....
Hakuna kitu sawa au si sawa... ni mtazamo tu.....
Ukiangalia jamii inayotuzunguka pia imejaa wanazi wa ndoa na watoto nk...... narudia tena si lazima tuish kutokana na norms za jamii yetu......
Part of societal changes... deal with it.
Bro! Me sijasema anataka kuolewa baada ya siku 3 ... lakini tufahamiane angalau mwezi ndo uombe Maku!Utaumia sana kwa hali ya vijana wengi kutokutaka kuoa.Sababu zipo sehemu mbili kwa Ke na Me.Ukiangalia wimbi la vijana kuoa linapungua kutoka day to day,hii ina maana huko mbele kutakuwa na idadi ndogo sana ya waoaji.Da! inasikitisha sana hasa nyie wa mjini hali n mbaya afadhal vijijin aisee.
Alafu mtoa uzi inabid ujue kuoa c jambo la kitoto na c uamuz wa haraka.Huyo rafik yako na wadada wengi wanataka kuolewa wakat mahusiano ndo kwanza yana siku 3 hahahaha!
Mim nimeshaoa na sasa nina miaka 5 kwenye ndoa na nilitumia 3 years kumchunguza mama watoto wangu before marriage. Over
ahahaaa hivi upo 40 ngapi r?Ukisikia paaaa.........
So na wewe ni toxic bachelor unaetaka mechi siku ya 2 baada ya kuonana?!Yaani you expect jamaa kuwife up like that...rafiki atasubiri sana lazima ianze hivyo then chemistry ikikubali mengine yafuate. Najua kwa women chemistry ni zaidi ya anatomy...lakini sio bila hata game ya kirafiki kwa zama hizi.
leo nipo hapa ofsini kwetu it plaza kuna live band so ?Bro! Me sijasema anataka kuolewa baada ya siku 3 ... lakini tufahamiane angalau mwezi ndo uombe Maku!
Sa we siku ya 3 sijui ya 1 sijui ya 2 unataka mecho nenda UEFA basi