Urasa,
mimi ni mmojawapo niliesoma kozi hiyo pale ardhi enzi hizo pakiitwa uclas, hiyo kozi huwezi kupata kazi nje ya halmashauri au wizara ya ardhi. hivyo wakati unasubiri matangazo ya huko kama yakitokea, tafuta kozi nyingine ambazo kazi zake zimejaa uzisome kama IT, Accounts nk, soma hata certificate au diploma, mimi nilisota miaka 2, nikaamua kuanza kusoma upya fani nyingine kabisa ndiyo iliyokuja kunipa kazi