Tovuti ya tff

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,483
Reaction score
167,073
NIMEKUWA NIKIISAKA KWA MUDA MREFU TOVUTI YA SHIRIKISHO LA SOKA LA TAIFA (TFF), LAKINI NILICHOAMBULIA NI VII WEBLINK http://www.tff-tz.org/
NIMEJARIBU MARA KADHAA LAKINI HAINA CHOCHOTE CHA CHAMA CHETU CHA MPIRA WA MIGUU,
JE NI KWAMBA IMEVAMIWA NA MAHARAMIA WA MTANDAONI (WEB PIRATES) AMBAO WAMEI HACK, AU CHAMA CHETU CHA SOKA KIMESHINDWA KULIPIA MASAFA HAYO HADI IMENYENG'ANYWA DOMAIN?
NAOMBA MNISAIDIE KUPATA LINK ITAKAYONIWEZESHA KUONA MSIMAMO WA LIGI YA BARA AMBAO UNA MATOKEO CURRENT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…