Nimefungua tovuti ya gazeti ya Jambo leo, nimepokewa na maneno kuwa imevamiwa(imedukuliwa) na timu ya kumfuta Pinda na sambaza ujumbe kwa wote kutokomeza Escrow. Maneno ni mengi na wamesema ni mwanzo tu, picha nimeambatanisha. Naona hii vita imehamia kivingine.