Tovuti ya fursa kwa ajili ya vijana wa kiafrica

Tembele

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
1,151
342
Habari

Nimekutana na tofuti inayotoa fursa mabali mbali kwa vijana wa africa.

Fursa hizo ni pamoja na nafasi za masomo zinazotangazwa, fursa za mitaji ya biashara, fursa za mafunzo na kadhalika

Inaitwa Opportunity base ama waweza click hapa

Sharing is caring
 
Back
Top Bottom