TOURS/CAR FOR HIRE

G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
6,569
8,435
Wapendwa habarini za leo na za majukumu pia,samahani kama kuna mwenye uzoefu ni jinsi gani ya kuanzisha kampuni na ofisi ya magari ya kukodisha kama TOURS,taratibu zake za kufuata japo mpaka sasa nina gari moja tu lakini nina ndoto za kufikia mahala hapa ninapopaulizia kwenu.

Mwenye uzoefu na uelewa juu ya hili anipe msaada tafadhari na jinsi ya kuiendesha kazi hii kimatangazo zaidi ili kujipatia wateja.

Natanguliza shukulani kwenu.
 
angalia apo ..kili ki2 kimeelekezwa
 

Attachments

  • Tour-Operators-Registration-Form.pdf
    365.4 KB · Views: 40
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…