Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,734
- 9,916
Wakuu,
Nilikuwa nataka sim ambayo haitumiki as Toys.
Maana sim yangu inashika adabu kwa watoto,nilikuja Dar ikawa wanainyaga kwa kuchezea game na file nyingne za kujifundishia.
Sasa naomba tutupieni picha hapa wenye sim ambazo zilikula jela ya TCRA,ili niwanunulie kama Toys.
Angalizo:-
Picha na Bei no PM