Mimi ni shabiki wa Man Utd ila leo nitaiombea mema Liverpool, nimetokea kuwaonea huruma jinsi wanavyopambana halafu wanakosa makombe, kupoteza fainali 2 mfululizo za Uefa itakuwa jambo la kusikitisha sana kama ilivyowahi kutokea kwa Juve. Utabiri wangu watashinda 2-0