Nachojua Ndombele hakusajiliwa na Mourinho. Mourinho hakumleta NdombeleKiuhalisia timu ilikuwa Bora sana , Dele Ali+ Son+ Kane + Moura
Mourinho ameleta watu wake wa hovyo hovyo , wanaogopa mpira wanakimbia kama chimpazee, hao akina sisoko , Ndombele na huyo central defender hovyo kabisa , CD ndo kasababisha magoli mengi Sana mana hata kutuliza mpira hajui , .....
Jana kasababisha penati ya kisenge Sana , mechi ya Liverpool kasababisha magoli yote yeye mana kutuliza mipira hawezi ......
Jana dk 30 za mwisho akina Moura wamekiamsha Sana alaf jamaa hawaamini sjui anataka mijitu yake akina Ndombele , sjawah kuwaamin waafrika Mimi tena wanaotembea na visado vya ugali tumboni.. Delle Ali bado ni mtu mhimu Sana kwenye hii timu , hakuna haja ya kuwatse money kutafta mtu mwingine....aah pona pona ya Mou amalize top four na achukue Europa , au vikombe viwili vya mbuzi FA na kile kingine , tofaut na hapo atimuliwe tuu
Vumilia tu mkuu. Kuna fix nyingi sana. Juzi kati hapo zilizidi mpaka nikajaa gesi. Ki ukweli huwa na-mind sana kuona mtu mwenye zero understanding kuhusu jambo fulani anaandika tu kwa kwa kuwa bando lake. Hata kama hajui anachoandika.Nachojua Ndombele hakusajiliwa na Mourinho. Mourinho hakumleta Ndombele
Tukishinda itatia molari chanya sana kwa vijana wetu...[emoji4]Mechi ya leo itakuwa kali sana ila ushindi lazima. Haya ndiyo makombe tunaweza beba. Leo natarajia Jose aweke full squad, yaani hakuna kuremba. Kwanza Ancelotti tunamdai.
Ushindi leo lazima
#COYS
Tupo wakutosha tu bro,,Hii timu nayo ina mashabik tz
Duhh..aseeTupo wakutosha tu bro,,
We do support our team.
Ndiyo mkuu. Tukishinda leo hata City tutampiga Jumamosi.Tukishinda itatia molari chanya sana kwa vijana wetu...[emoji4]
Fucking defending,, Daily songs individual mistake & poor defending.Stats like,View attachment 1699603
The only consistent thing in our defending is individual mistakes. Match in match out. We are winning this match anyway.Fucking defending,, Daily songs individual mistake & poor defending.
We jamaa skujua kama ni ndezi kweli, wapi nilisema Mourinho kamsajili Ndombele ?? Issue ya Delle Alli Dunia nzima inajua ni mistrust ya Jose ndo imesababisha dogo kashuka kiwango wakat ni finisher mzur Sana ..... Usijifanye unajua Sana mpira kumbe hujui lolote pimbi wewe , na usinitolee reference tena kama huwez kujadili vyema ,mbna wengine wananiquote Kwa mjadala na maoni mema ....wewe mpak ujifanye unajua na kutoa kejeli ??Vumilia tu mkuu. Kuna fix nyingi sana. Juzi kati hapo zilizidi mpaka nikajaa gesi. Ki ukweli huwa na-mind sana kuona mtu mwenye zero understanding kuhusu jambo fulani anaandika tu kwa kwa kuwa bando lake. Hata kama hajui anachoandika.
Huyo mkali anakwambia Jose kamsajili Ndombele! Anakwambia pia Jose kasababisha Dele Alli ashuke kiwango na anamchukia ndiyo sababu hampangi.
Noma sana. Huyo bwana hata hajui kuwa Poch ndiye alimsajili Ndombele. Kutojua siyo tatizo, tatizo mtu kujifanya anajua wakati hamna anachojua.
Mara ya mwisho kuchukua kombe ilikuwa lini?Mimi nalichukia likocha limetuharibia timu, haiwezekani kila mechi ni kichapo tuu
Aisee, noma. Umenifurahisha sana permanides . Hizi timu tunazipenda ila lazima tuwe tunzijua vema. Kabati letu lina kakombe kamoja tu enzi hizo kanaitwa Carling Cup. Hapo unaambiwa tumeharibiwa timu.Mara ya mwisho kuchukua kombe ilikuwa lini?