Mbeya City Spurs I
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 482
- 1,026
Siyo watagombana naye, tayari kuna wachezaji washagombana naye. Jose ni serial winner anayehitaji wachezaji wanataka kushinda. Wachezaji wavivu kama akina Danny Rose ni lazima tu atagombana nao.hizo ni hasira zako wewe shabiki bado hasira za wachezaji kwa kocha, muda si mrefu utasikia wamegombana nae.
Shida ya mashabiki wa spurs ni ubishi.Mmmh, wewe ulisikia wapi tunamtaka huyo mchezaji!? Maana ninavyojua Arsenal ndiyo timu pekee ya Uingereza katika orodha ya timu zilizokuwa zikimuwania. Pia kwa mujibu wa Fabrizio simu ya Arteta ndiyo kitu kilimfanya abadili mawazo na kuikubali Arsenal maana alikwisha kuwa amechagua timu nyingine.
Mchezaji pekee ambaye imethibitika Spurs wamewania saini yake dirisha hili ni Eriksen ili kuziba pengo la Dele Alli anayetakiwa na PSG. Kikwazo ni mshahara mkubwa wa Eriksen na ada kubwa ya mkopo wanayotaka Inter.
Kwa sasa kama kuna mchezaji ataikwepa Spurs na kwenda Arsenal ni wazi atakuwa na shida kubwa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kane anachezeshaje timu katika 3 4 3 ambayo yeye ni CF?Man kumfunga Liva kwa formation fulani haimaanishi Spurs nayo ingeweza kufanya hivyo. Hiyo 4 2 3 1 inahitaji uwe na namba 10 mzuri. Jana Mou alimuhitaji Ndombele (namba 10 wetu feki) katikati kwenye DM kuliko mbele kwenye final third. Ndiyo sababu kazi ya uchezeshaji pale mbele alitwikwa Kane.
Formation ya jana ilikuwa sawa na timu ilicheza vizuri sana. Utakubaliana na mimi kuwa magoli yote ya Livacool yalikuwa zawadi kutoka kwa wachezaji wetu (Dogo Rodon, Dier na Kipa). Magoli amba kimsingi ndiyo yalitufanya tupoteze mchezo.
Kuhusu Mane na Mo Salah kufikiwa na pasi kirahisi wala siyo ajabu wanapocheza na Mourinho. Muhimu ni kuwa mara zote wao ndiyo wanakuwa contained na walinzi wetu hivyo kutokuwa na madhara.
Mchezo wa jana tumepoteza kwa kuwa "tuliwazawadia" wapinzani magoli. Kimbinu tulikuwa sahihi na tulicheza vizuri.
Kabla ya Liverpool tulishinda 4 - 1Shida ya mashabiki wa spurs ni ubishi.
Hamjashinda mechi yoyote tangu lini?
Hii inamaanisha haujajua Spurs inachezaje ikiwa na Kane msimu huu.Kane anachezeshaje timu katika 3 4 3 ambayo yeye ni CF?
Au wewe ulivyoona jana ulijua Kane anakaa namba ngapi?
Bado sijaona ni wapi Kane anachezesha timu.Hii inamaanisha haujajua Spurs inachezaje ikiwa na Kane msimu huu.
Kwenye game ya jana Spurs ilikuwa ikicheza 3 4 3 inapokuwa na mpira ambapo Kane alikuwa akicheza mbele kidogo ya Hojbjerg na Ndombele akijaribu kuwapenyezea Son na Bergwijn waliokuwa wakimendea uwazi nyuma ya CBs wa Looserpool.
Hiyo ndiyo namna Kane anavyotumika kumchezesha Sonny (na Bergwijn!?).
NB: Jana timu isipokuwa na mpira ilikuwa ikicheza 5 3 2 na 4 4 2 kutegemeana na movement za triggers wa Looserpool (Mane na Mo Salah). Ambapo kwenye 4 4 2 kwa mfano, mbele walibaki Sonny na Kane huku Bergwijn akienda kwenye wing(back) ya kulia na Doherty akicheza kushoto.
Wajinga wakizidi kupress na kuturudisha nyuma, Doherty alirudi nyuma na kutengeneza back 5 ambapo sasa Kane na Bergwijn wana switch Kane anarudi nyuma kidogo.
hebu subiri.Hii inamaanisha haujajua Spurs inachezaje ikiwa na Kane msimu huu.
Kwenye game ya jana Spurs ilikuwa ikicheza 3 4 3 inapokuwa na mpira ambapo Kane alikuwa akicheza mbele kidogo ya Hojbjerg na Ndombele akijaribu kuwapenyezea Son na Bergwijn waliokuwa wakimendea uwazi nyuma ya CBs wa Looserpool.
Hiyo ndiyo namna Kane anavyotumika kumchezesha Sonny (na Bergwijn!?).
NB: Jana timu isipokuwa na mpira ilikuwa ikicheza 5 3 2 na 4 4 2 kutegemeana na movement za triggers wa Looserpool (Mane na Mo Salah). Ambapo kwenye 4 4 2 kwa mfano, mbele walibaki Sonny na Kane huku Bergwijn akienda kwenye wing(back) ya kulia na Doherty akicheza kushoto.
Wajinga wakizidi kupress na kuturudisha nyuma, Doherty alirudi nyuma na kutengeneza back 5 ambapo sasa Kane na Bergwijn wana switch Kane anarudi nyuma kidogo.
Hapa ili turahisishe tuiite 3 4 1 2hebu subiri.
nimesoma mara nyingi nyingi ndiyo nimeona ulicholenga.
kwamba Kane alikua mtoa pasi kwa son na huyo mwingine?
unajua kuna 3 4 3
halafu 3 4 1 2
halafu kuna 3 4 21
halafu kuna 3 5 2
Na jana mlicheza 3 4 3 means
CB,
LWB, CMF, CMF, RWB
RMF (begsomething), CF (Kane), LMF (Son)
ila huyu CF ndiye akawa anawapelekea mpira RMF na LMF?
we jamaa ni hatari.
Ikiwa 3 4 1 2 hiyo 1 hukaa AM ambapo kwa timu yenu Ndombele ni AM.Hapa ili turahisishe tuiite 3 4 1 2
Sikutaka kuiita hivyo kwa kuwa kilikuwa kitu kisichodumu hata kwa dakika mbili. Mchezo wa jana ulikuwa ukihusisha formation nyingi sana ndani ya muda mfupi kutegemeana zaidi na positioning ya Mane na Mo Salah.
Pia simaanishi kuwa Kane ni mshambuliaji mchezeshaji mzuri. Jose analazimika kufanya hivyo kwa kuwa namba 10 wetu wote pancha! Mmoja kashindwa ku-cope na mchezo wa kocha (Dele Alli) na mwingine kila uchao majeruhi (Lo Celso).
Ndombele huwa mzuri pia pale ila tatizo ni kuwa akicheza mbele tunakosa mtu wa kuziba pengo lake pembeni ya Hojbjerg. Winks na Sissoko ni wa kawaida sana.
Ili Ole ukaue kipaji tena? hebu sema nini kilitokea kwa Lingard.Ndombele tutoe kiasi gani bwana Levy?
Ila Mou angemsajili Ings ingekuwa poa sana, ana nguvu, mpiganaji na anafunga. Harry Kane si rahisi kucheza msimu mzima, yuko soft sana. Pili kuna haja ya kasajili beki za kueleweka, kiukweli huwa siamini kabisa defense inayoongozwa na Eric Dier.Hapa ili turahisishe tuiite 3 4 1 2
Sikutaka kuiita hivyo kwa kuwa kilikuwa kitu kisichodumu hata kwa dakika mbili. Mchezo wa jana ulikuwa ukihusisha formation nyingi sana ndani ya muda mfupi kutegemeana zaidi na positioning ya Mane na Mo Salah.
Pia simaanishi kuwa Kane ni mshambuliaji mchezeshaji mzuri. Jose analazimika kufanya hivyo kwa kuwa namba 10 wetu wote pancha! Mmoja kashindwa ku-cope na mchezo wa kocha (Dele Alli) na mwingine kila uchao majeruhi (Lo Celso).
Ndombele huwa mzuri pia pale ila tatizo ni kuwa akicheza mbele tunakosa mtu wa kuziba pengo lake pembeni ya Hojbjerg. Winks na Sissoko ni wa kawaida sana.
Dier siku zote tangu zamani ni DM. Anachezeshwa tu kama beki cz hatuna beki wa maana. Yule dogo radon naona ni mzigo mzito sana.Ila Mou angemsajili Ings ingekuwa poa sana, ana nguvu, mpiganaji na anafunga. Harry Kane si rahisi kucheza msimu mzima, yuko soft sana. Pili kuna haja ya kasajili beki za kueleweka, kiukweli huwa siamini kabisa defense inayoongozwa na Eric Dier.
Ings walimfukuzia sana dirisha lililopita sema huyu bwana Levy huyu ni bahili sijawahi ona. Huyu Vinicious aliyesajiliwa kwa mkopo sioni akitusaidia sana kipindi hiki Kane hayupo. Ila ngoja tusubiri Jose magic.Ila Mou angemsajili Ings ingekuwa poa sana, ana nguvu, mpiganaji na anafunga. Harry Kane si rahisi kucheza msimu mzima, yuko soft sana. Pili kuna haja ya kasajili beki za kueleweka, kiukweli huwa siamini kabisa defense inayoongozwa na Eric Dier.
Woodwork hawezi kukubali kusajili "Pogba" mwingine. Aliyenaye anampa headache ya kutosha tayari. Levy mwenyewe ilibidi a-play genius ili aokoe jahazi.Ndombele tutoe kiasi gani bwana Levy?
Nani uyo?? Angalia Burnley amekufa ngap leo..Wewe si umetika kupigwa game iliyopita??
Unaweza kuifunga Chelsea wewe??Timu yako tutaifunga tukikutana.
Mkuu ndio unapata ujasiri wa kujibu leo, Tuschel mmepigwa, yule na Lampard mwenye upara.Nani uyo?? Angalia Burnley amekufa ngap leo..
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]