Jana hatukuwa effective kwa sababu ya udhaifu wa CD yetu. Hivyo Hojbjerg ikabidi akae mbele yao muda wote kuwakingia kifua. Hii ndiyo sababu midfield yetu ilikufa kabisa.
Faida nyingine tuliyokuwa nayo ni kucheza na kocha mchanga asiyejua kuwa game kama ile alimuhitaji Giroud.